Skip to main content

Ni jinsi

Ni jinsi

Kawaida

Unabashiri matokeo yatakuwaje ndani ya muda wa dakika 90 za mchezo +muda wa majeruhi(Usindi nyumbani,Suluhu,Ushindi ugenini) muda wa ziada au mikwaju ya penalt haihsabiki.

Nafasi Mbili

Bashiri juu ya matokeo mawili kutokea 1x2
  1. 1X - timu ya nyumbani kushinda au mechi kuishia na sare
  2. 12 - ama timu ya nyumbani au timu ya ungenini kushinda mechi
  3. X2- timu ya ungenini kushinda au mechi kuishia na sare

Handicap

Unabashiri matakeo yatakuwaje ndani ya dakika 90 za mchezo+muda wa majeruhi(Ushindi nyumbani,Sare,Ushindi wa ugenini). Tofauti pekee kati ya kawaidi na handicap ni kwamba kwenye handi cap timu dhaifu hupewa goli moja.
Mfano:
  • Arsenal vs (+1) Liverpooll
  • Kawaida 1-1(matokeo ni suluhu)
  • Handicap 1-2 (tunaoneza goli kwa Liverpool kama ndio timu dhaifu (Ushindi nyumbani,Suluhu,ushindi ugenini) Kwaiyo Liverpool atakuwa mshindi wa hii mechi

Dakika 45

Unabashiri matokeo (Ushindi nyumbani,Suluhu,Ushindi ugenini)kwenye hitimisho la dakika 45 za mchezo(Kipindi cha kwanza cha mchezo).

Dakika 45 ya kipindi cha pili

Unabashiri matokeo yatakayokuwa (Timu ya nyumbani ushindi, Sare, Timu ya ugenini ushindi) katika hitimisho la dakika 45 za pili za mchezo. (nusu ya muda ya kipindi cha pili).

Nyingi

Unaweza kuchagua kwa kila mechi aina ya mchezo unaoutaka, lazima ufanye kiwango cha chini cha uchaguzi wa bashiri kiwe mechi 3.

Juu Chini

Una beti baada ya mechi kuisha Jumla ya magoli yawe zaidi ya 2.5 au chini ya magoli 2.5
  1. ZAIDI = 2.5 MALENGO
  2. CHINI = -2.5 MALENGO
Mfano:
  1. Chelsea vs Manchester City 2-1 Jumla ya magoli ni sawa na 3 (2 + 1) hivyo itakuwa (ZAIDI)
  2. Chelsea vs Manchester City 0-1 Jumla ya magoli ni sawa na 1 (0 + 1) hivyo itakuwa (CHINI)

Juu Chini ya kipindi cha kwanza

Bashiri kama jumla ya magoli katika kipindi cha kwanza ya takuwa juu ya 1.5 au chini ya 1.5
  1. JUU YA=+1.5 MAGOLI
  2. CHINI YA=+1.5 MAGOLI
Mfano:
  1. Chelsea dhidi ya Manchester city 1-1 jumla ya magoli ya takuwa ni 2(1+1) kwa hivyo itakuwa (JUU YA)
  2. Chelsea dhidi ya Manchester city 0-1 jumla ya magali ya takuwa ni 1 (0+1) kwa hivyo itakuwa (CHINI YA)

Juu ya Chini ya kipindi cha pili

Unabashiri kama jumla ya magoli yatakuwa juu ya magoli 1.5 au chini ya magoli 1.5 katika kipindi cha pili cha mchezo
  1. JUU YA=+1.5 GOALS
  2. CHINI YA=-1.5GOALS
Kwa mfano:
  1. R. Madrid vs Manchester city 1-1 Jumla ya idadi ya magoli ni sawa na 2(1+1) kwa hiyo itakuwa (JUU YA)
  2. R. Madrid vs Manchester city 0-1 Jumla ya idadi ya magoli ni sawa na 1(0+1) kwa hiyo itakuwa (CHINI YA)

Timu zote zitashinda goli

Unabashiri kama timu zote zitashinda ndani ya dakika 90+muda wa majerehi.

Timu zote zitashinda goli kipindi cha pili

Unabashiri timu zote zitafungana katika hitimisho la kipindi cha pili+dakika za majeruhi

shufwa witiri

Shufwa au Witiri: unabashiri jumla ya magoli ya kipindi cha mwisho wa mpira (dakika 90+muda wa majeruhi) itakuwa WITIRI au SHUFWA
  1. Namba WITIRI ni(1,3,5,7,9,11…)
  2. Namba SHUFWA ni (0,2,4,6,8,10…)
Mfano mahususi:
  1. Manchester City vs Tottenham (Matokeo ya mwisho wa mchezo 2-1) (Magoli 2+1=3) (3 ni Witiri)
  2. Manchester Utd vs Juventus (Matokeo ya mwisho wa mchezo 4-2) (jumla ya magoli ya mwisho wa mchezo 4+2=6) (6 ni Shufwa)
  3. Barcelona VS Real Madrid (Matokeo ya mwisho wa mchezo 0-0) (jumla ya magoali 0+0=0) (0 ni shufwa)

Popular posts from this blog

JINIS YA KUCHEZA KUPITIA POCHI

HOW TO PLAY FROM WALLET

Contact Mbet

Customer care phones 0768 988 790 MITANDAO YOTE Customer care email msaada@m-bet.co.tz