Ni jinsi Kawaida Unabashiri matokeo yatakuwaje ndani ya muda wa dakika 90 za mchezo +muda wa majeruhi(Usindi nyumbani,Suluhu,Ushindi ugenini) muda wa ziada au mikwaju ya penalt haihsabiki. Nafasi Mbili Bashiri juu ya matokeo mawili kutokea 1x2 1X - timu ya nyumbani kushinda au mechi kuishia na sare 12 - ama timu ya nyumbani au timu ya ungenini kushinda mechi X2- timu ya ungenini kushinda au mechi kuishia na sare Handicap Unabashiri matakeo yatakuwaje ndani ya dakika 90 za mchezo+muda wa majeruhi(Ushindi nyumbani,Sare,Ushindi wa ugenini). Tofauti pekee kati ya kawaidi na handicap ni kwamba kwenye handi cap timu dhaifu hupewa goli moja. Mfano: Arsenal vs (+1) Liverpooll Kawaida 1-1(matokeo ni suluhu) Handicap 1-2 (tunaoneza goli kwa Liverpool kama ndio timu dhaifu (Ushindi nyumbani,Suluhu,ushindi ugenini) Kwaiyo Liverpool atakuwa mshindi wa hii mechi Dakika 45 Unabashiri matokeo (Ushindi nyumbani,Suluhu...